Tuesday, November 12, 2013

LIST YA MAGARI MAZURI YA STAREHE DUNIANI KWA MWAKA 2014

                                             10. Marussia B1



Marussia B1 ni gari ya kwanza Kirusi ya starehe na
kutokana na uzuri wake ndio moja ya sababu ilifanya
kuwepo kwenye chati hizi,

pia inatumia engene  V6 2.8 liter turbo engine which is capable of making up to 420hp reaches 0-100 km/h (62mph) in 3.8 seconds.



                                             9. Audi R8 GT:

 
Ni moja kati ya magari ya kifahari kwa muonekano na kasi pia na ni moja ya gari ambayo ni kuvutio kwa watu wengi maarufu hasa waafrika wengi ukitofautisha na magari mengine ya kifahari

 his car is equipped with powerful engine of 5.2 liters V10, which is capable of producing 560hp, making the car easily reach up to 100 km/h (63mph) in 3.6 seconds, whereas in its top speed; the car makes up to 320 km/h (199 mph).

 

                                    8. McLaren P1:

 uzuri na muundo wake ni sababu tosha ya kuwa katika chati hizi ni moja kati ya ghari zenye gharam duniani na 

The McLaren P1 was produced to replace the super McLaren F1, through its unbeatable speed and style. This beautiful car has some real exotic and aggressive looks with the additional body panels, along with the headlamp design, which is significant to the McLaren's logo. The P1 is powered by a gasoline V8 twin turbo engine, with 727hp and is equipped with an electric motor which produces 176hp speed. This powerful engine of the P1 enables its riders to take it to 100 km/h (62mph) in less than 3 seconds...to be exact, and reaches up to 385 km/h (239 mph) in its top speed capacity. 


                                  7. Pagani Huayra:

 

Ni gari ya muitaliano (ITALY) ambayo inatia fora kwa jinsi
milango yake inavyo funguka mithili ya mabawa ya ndege achilia mbali muonekano wa mbele mithili ya sura ya chura na pia gari hili limeundwa na zaidi vipengele 40,000 ni nikwajili ya kutengeneza kitu kizuri na kwa hili
pagani Huayra imefanikiwa kuwa moja kati ya magari mazuri duniani

Na inatumia engine ya Mercedes AMG engine of 730hp, which is capable of producing a top speed of 372 km/h (231 mph) and reaches up to 100km/h (62 mph) in nearly 3.3 seconds. 

 

                                      6. Bugatti Veyron Vitesse: 

Ni gari lenye kasi zaidi duniani na limenakshiwa kwa rangi mbili tofauti ambazo ni nyeusi na nyekundu na kabla kuundwa kwa gari ilikuwa ni gari ya mashindano na ndipo wazo la kubuni gari la starehe likatokea


As for its engine, this beautiful car possesses 8.0 liter W16 engine with 1200 hp, capable of alluring 410km/h (255 mph) speed, but it is electronically limited to 275 km/h (233 mph), as an ensuring measure for driver's safety. Vietesse makes 0-100 km/h (62mph) in just 2.6 seconds. 

 

 

                                        5. LaFerrari:

 

 Kwa muonekano wake wake kwanza linapendeza pia ni hii style yake ya milingo inavyofunguka hii ni sababu tosha kuwa laferari ni moja ya gari zinazopendeza machoni pia ni gari ambalo lina engine mbili ambazo  is capable of generation 789hp and 163hp electric speed. Moreover, its 6.3 litre V12 engine makes it reach the speed of 350km/h (220 mph) in top speed and makes around 100km/h (62mph) in less than 3 seconds.

 

                                             4. Vanquish:

 

Aston Martin ni moja kati ya bidhaa bora za magari kila siku na hakuna ubishi kuwa wanafikiria kuja muundo gani kukidhi mahitaji ya wapenzi wa magari na kwa hili wamefanikiwa kwa kuleta bidhaa zenye thamani bila kushuka duniani kula kukicha 

The car is entirely a proper GT car, enabling one to take it on for long drivers; and as they declare the car to be the "Ultimate convertible super GT". It is however, the first ever convertible car from Aston Martin, featuring a full carbon-fiber body. This beauty is powered by a naturally aspirated 6.0 liter V12 engine, which is good enough for 565 HP (573 PS) and 620 NM (457 lb-ft) of torque. It is moreover equipped with a touchtronic 2 six-speed automatic transmission mode, which keeps the car running as faster as the above speeding measures are. Thus, making the car renamed as the most luxurious sports cars, with exhilarating features, for GT driving. This beautiful looking car offers not only great performance, fantastic style, and Volante motoring, but gives the drivers an ultimate driving experience with joy of a ride. 


                                         3. Zenvo ST1:

 
Ni gari ya kidenmark ambayo inafanya vizuri katika soko la marekani ambalo gari hii ilianzishwa na waanzilishi wawili Jesper Jensen na Troels Vollertsen mpaka sasa hakuwa ubishi kuwa VENZO ST1 ni moja kati ya magari wanayo vutia duniani kote

 The Zenvo ST1 is powered with 7.0 liter V8 engine, capable of producing around 1,100 horsepower of speed, pretty enough to challenge the competitor Bugatti Veyron's sports car. This moreover, enables the car in hitting the speed of 233mph, without any hitches around. So far, despite of the elegant and sleek looks of this beautiful car; only 15 cars of this model are to be built, with segregation of 3 out of those going to US.  

 

                                       2. Jaguar F-Type:


 

Moja kati ya gari maarufu na ambalo hutumiwa na watu wengi maarufu duniani kote ni kwasababu ya mounekano ambao juu huwa wazi kiasi ambacho huweza kuliona jua na kuota pia ukiwa unaliendesha

  F-type is well to be known as the best looking car, with two-door, two-seater, and roadster coupe capabilities. As for its engine, which is powered by 3.0 liter supercharged V6 in normal and S-level, and 5.0 liter supercharged with V8. The car comes with a transmission speed of 8, with automatic dynamics; all in all which is capable of producing nearly 340 hp base, 380 hp (s) and 495 hp (V8) speed

 

                                1. Lamborghini Gallardo:

 
 

 "Lamborghini Gallardo" gari la kiitaliano na  ni moja kati ya gari ghali duniani kote na inashikilia namba moja ya mauzo ya bidhaa zinazozalishwa na lamborghini na pia ina sifa ya kupambana na ngombe na pia uzuri wa muundo ulio nao inatosha kuifanya kuwa namba moja bila ubishi



The enchanting beauty has been named after the famous breed of fighting bull. Gallardo has proved to be the Lamborghini leader in sales chart. The initial cohorts of the Gallardo came with a 5 liter 90 degree V10, possessed 4961cc engine. However, the later version in the category came out in the market with much better and improved specifications. In the latest one; the exhaust system has been replaced with more of a sporty one, with the inclusion of flap to reduce the noise factor. Moreover, the suspension was revised; steering rack was fitted, which wasn't there in the previous models of this class. Its 520 bhp metric horsepower with 382 kw, along with lowering of the gears in 1st to 5th, equipped the car with some additional powers...making this best looking car the fastest car around as well. 




No comments:

Post a Comment