Friday, November 8, 2013

DRAKE KUFANYA NYIMBO NA BABA YAKE

Tarifa zenye kuaminika zimebainisha kuwa rapper ya YMCMB Drake
hivi karibuni amefanya ngoma na baba yake mzazi ngoma hiyo
inatarajiwa kuwa na jina la “Heat of The Moment” kaa tayari kwa
hiyo ya baba na mwana



No comments:

Post a Comment