Friday, October 4, 2013

BIFU KATI YA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ?

Labda ungesikia bifu kati diamond na prezoo usingeshangaa ama ungesikia bifu kati ommy dimpoz na lord eyes isinge kushtua kutokana mambo yaliyojitokeza hivi karibuni je ushawahi kuwafuatilia diamond na ommy dimpoz katika nyimbo hizi mbili yaani:
NAI NAI
      &
KESHO




fuatilia vipande hivi NAI NAI "shopping twende tai iwe china au dubai nitagharamia"
huku diamond akikwambia  "eti shopping twende tai wakati dada yangu ana duka kigogo"
japo kuwa diamond na ommy dimpoz ni maswahiba wakubwa pia hatujawahi kusikia nyimbo yoyote ya kushirikiana kati yao zaidi ya ile waliyo shirikiswha na dully sykes utamu hi inaashiria nini kukua kisanaa, kuogopana au muda haujafika yote kheri na ni mtazamo tuu.

No comments:

Post a Comment